UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME – CHANZO, DALILI NA TIBA ZAKE

 

Upungufu wa Nguvu za Kiume ni hali ya kushindwa kufanya mapenzi kikamililifu au kushindwa kusimamisha vizuri, shughuli ya tendo la ndoa huhusisha akili, homoni, neva, misuli, hisia na mirija ya damu. Tatizo hili huripotiwa kuwa katika nusu ya wanaume. Upungufu wa nguvu za kiume huashiria ugonjwa na kuvuruga ndoa za watu, ni tatizo linalohitaji tiba.

Vifuatavyo ni vyanzo vya upungufu wa nguvu za kiume:

1.      Kuzidiwa na wingi wa halemu (Cholesterol), Shinikizo la damu (B.P) na ugonjwa wa moyo

2.      Kuvuta sigara na unywaji wa pombe

3.      Uzito kupita kiasi na unene uliozidi (kitambi)

4.      Ulaji holela wa vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

5.      Ugonjwa wa Kisukari (diabetes)

6.      Kuwa na mawazo na wasiwasi (stress)

7.      Matumizi ya madawa mbalimbali (drug abuse)

8.      Uzee

9.      Kuwa na tatizo la kibofu

10.  Tabia za kujichua kwa mda mrefu (masturbation)

11.  Kutopata usingizi kamili

12.  Matumizi makubwa ya dawa zenye kemikali za kutibia magonjwa kama kansa, vidonda vya tumbo, moyo, kisukari, B.P, na magonjwa mengine

 

Zifuatazo ni dalili za upungufu wa nguvu za kiume:

1.      Kuwahi kufika kileleni

2.      Kukosa hamu ya mapenzi

3.      Kushindwa kurudia tendo la ndoa

4.      Uume kusimama kwa uregevu au kushindwa kusimamisha

5.      Kuchoka sana baada ya tendo la ndoa na hata kukinai kabisa au hata kusikia kichefuchefu; Miguu, uso na tumbo kuvimba na kujaa maji

6.      Kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya tendo hilo

7.      Kuchelewa sana kufika kileleni (au kushindwa kufika kileleni kabisa)

8.      Kukosa pumzi na uchangamfu wa mwili katika utendaji

 

Yafuatayo yanasaidia kupunguza au kuondoa kabisa tatizo la nguvu za kiume:

1.      Fanya mazoezi – Angalau ya dakika 30 kwa siku

2.      Kula vyakula asilia na nafaka kamili yaani zisizokobolewa

3.      Usile vyakula vyenye mafuta mengi na sukari nyingi

4.      Tibu magonjwa yako yanayokuweka hatarini kama kisukari, moyo, punguza unene na mengine

5.      Punguza kiwango cha halemu (choresterol) au mafuta yaliyozidi

6.      Usivute sigara

7.      Punguza au acha kunywa pombe

8.      Punguza mawazo

9.      Lala vizuri kwa muda mzuri – masaa 7 hadi 9

10.  Usitumie dawa zenye kemikali nyingi kwani huathiri mfumo wa uzazi

11.  Kunywa maji ya kutosha

 

TIBA MADHUBUTI

Matibabu ya nguvu za kiume na vyanzo vyake yanatibiwa kikamilifu kwa virutubisho vinavyotokana na vyakula. Tuwasiliane tukupe ushauri na utaratibu wa matibabu, utapona, insha Allah.

MAWASILIANO

 

Dk. Kabavako

Mtaa wa Lake Tanganyika, Kata ya Buzebazeba, Manispaa ya Kigoma Ujiji.

S.L.P 1011 Kigoma

rkabavako@yahoo.co.uk

0757461144 /0621551203

 

Maoni